Zaidi ya wasichana 20,000 hupachikwa mimba kila mwaka katika kaunti ya Kakamega asilimia kubwa wakiwa wamo chini ya miaka 16. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la AMREF kaunti hiyo ...
Mimba za utotoni ni tatizo kubwa katika nchi nyingi zinazoendelea, zikiwepo nchi za Afrika Mashariki. Young Strong Mothers Foundation ni asasi inayosaidia wasichana zaidi ya 200 walioshindwa kuendelea ...
Mradi unaolenga kupunguza idadi ya wasichana wanaopata mimba mapema kwa kutumia watoto bandia nchini Australia, huenda umesababisha matokeo ambayo hayakuwa yanatarajiwa ama ambayo hayakutakikana.
Baraza la seneti nchini Burundi limesema linatiwa wasiwasi na ongenzeko la idadi ya wasichana wanaoacha shule kutokana na kupata ujauzito au kuolewa mapema. Hayo yamebainishwa katika mkutano wa wadau ...
(Nairobi) – Marufuku ya serikali ya Tanzania dhidi ya wanafunzi wa kike wanaopata mimba na wale walio na watoto wachanga kuendelea na masomo imewanyima maelfu ya wasichana haki ya kupata elimu.
Takwimu za wizara ya elimu nchini Kenya zinaeleza kuwa wasichana zaidi ya laki mbili hawakurudi shuleni wakati zilipofunguliwa mwezi Januari mwaka huu ,baada ya kufungwa kwa karibu mwaka moja kutokana ...
Kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa nchini Tanzania kinaruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 kwa kibali cha mahakama na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi. Je, ni kwa namna gani jamii ...
Kiwango cha wasichana wenye umri mdogo kupata mimba nchini Uganda kinazidi kuleta hofu na mashaka miongoni mwa umma ambapo hadi idadi robo ya watoto hao ambao hawajatimu miaka 18 wamejikuta katika ...