Mahakama ya Kenya imewashtaki wasichana wanane wa shule kwa mauaji. Wameshtakiwa kwa kusababisha vifo vya wanafunzi wenzao 16 ...
(Nairobi) – Maelfu ya wasichana wajawazito na kina mama vijana wanazuiwa au kukatishwa tamaa kuhudhuria shule barani Afrika, shirika la Human Rights Watch limesema katika ripoti iliyotolewa leo, ...
Wasichana wa umri mdogo nchini Uingereza wanafanyiwa upasuaji kurekebisha sehemu zao za uzazi kwa sababu hawapendezwi na muonekano wake, kipindi cha runinga cha Victoria Derbyshire kimefahamishwa.
(Nairobi) – Ndoa za utotoni ndani ya Tanzania inapunguza upatikanaji wa eliumu kwa wasichana na inawaweka hatarini kupata madhara makubwa, Human Rights Watch imesema kwenye ripoti iliyotolewa leo.
Unaweza kufikiria namna ambavyo kila sahani ya chakula chako inaweza kuwa ndio sahani ya mwisho kula. Mlo wako wa kifungua kinywa, chakula cha mchana na usiku pia vyaweza kumaliza maisha yako. Na ...
Vita dhidi ya mimba za utotoni vimepata msukumo baada ya mradi wa kuwarejesha shuleni wasichana waliojifungua kuzinduliwa mtaani Kibra nchini Kenya. Hili limefanikishwa kupitia wafadhili na juhudi za ...
Nairobi, Kenya – Afrika Kusini imeendeleza ubabe wake katika mashindano ya bara Afrika ya vijana (AAJTC) baada ya kushinda mataji ya wavulana na wasichana kwenye uwanja wa par 72 wa Windsor Golf and ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results